63 couldn't feel better. I thank my ancestors for all that they gave me. Video by my one and only daughter Naanyuni.
My message for this birthday is no reform no elections
This is Awadh Juma Haji @IntlCrimCourt
👇🏾
Potential IGP candidate of Samia Suluhu! A man accused by police and citizens of crimes against humanity and being instrumental in enforcing “shoot to kill”orders in October 2025 #TanzaniaMassacre
Hapa lazima tuelewana mwaka huu!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
‼️THIS IS IT‼️
Today it has become crystal clear:
The government is under strain
The economy is under financial strain
This is untenable!
It is clear Tanzanians will not relent or tire until they get justice for #TanzaniaMassacre
Samia Suluhu and her murderous cabal - either you give the People justice now or run away from justice in Tanzania!
And because this is untenable this has to be resolved before the end of the year or #Tanzania risks facing total collapse on all fronts!
Justice is coming anyway and Samia Suluhu will HAVE TO face justice either in exile or in the courts of Tanzania
#SamiaMustGo
Huyu mtoto wake alipigwa risasi tar 29 akiwa ktk shughuli zake. Ukimtumia ujumbe wa kulinda amani atajua unautusi ufahamu wake!
Tafsiri yenu ya amani ni ninyi kuuwa watu mshike dola.. alafu sisi tuone ni sawa! We reject to accept this.
We demand Justice for our compatriots.
Taifa linahitaji Ukombozi wa kweli kama wewe ni Mzalendo wa kweli na unaipenda Nchi yako,
Ni jukumu lako kuweka uoga pembeni na kutoka kupambania Nchi yako ya Tanganyika kutoka kwa Watekaji, Mafisadi, Wauaji na Madikteta wa CCM...
Kijiji cha Ololosokwan kimepokea barua ikidai kitoe hati miliki ya ardhi ya kijiji ili umiliki uweze kuhamishiwa kwa "rais" haramu! Barua hiyo haisemi sababu yoyote. Wiki iliyopita wanakijiji walifanya mkutano ili kuweka utaratibu wa dharura. Ni muhimu kuchukua hatua kali!
A criminal who will never know peace. TZ is shutdown since morning as she fears legitimate protest against her bloody rule. Mnuka damu za watu asiye na maana🚮
Hebu nicheke mie!
Usitufokee wanaharakati - sisi hatujazuia mtu kutoka - hatujapiga watu risasi - ni hiyo serikali haramu! So wafokee hao wanaoandamana na machawa wao wako humu wiki mbili wanatishia watu kuwapiga risasi wakitoka!
Hatutaki milio! Nchi ingekuwa huru tungeenda kuandamana kwa amani kama iliivyopangwa nyie mngefungua maduka!
Waambieni CCM msitufokee
#77Tunatoka #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Location ilikuwa ni Tanga
All changed baada ya Samia kuropoka na kukombeza rais mwenzie mbele za watu na kuongelea mradi kama kitu kidogo tu na haujui mradi wenyewe
Ruto aliposimama akasema hata hivyo sehemu za kujenga ni nyingi sio lazima iwe Tanga hivyo hakuna shinikizo lolote kwamba watajenga Tanga
Na Hivyo ndivyo Tanzania ilipoteza mradi na inapoteza miradi mingi sababu kuna mtu hana uwezo anajua kutumia bunduki kuiba chaguzi
Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI, na mpaka muda huu HAJAKAMATWA.🥲🥲
Safari ya Paris imewahi kweli. Wakati wananchi wanajiandaa na siku zenye joto la kisiasa, viongozi wako angani. Bahati mbaya ya ratiba au timing ya kiwango cha juu? Watanzania wataamua wenyewe.
7/7 tunatoka.
#GenZ#KatibaMpya#Freetundulissu
Wameichomesha CCM
Japo account sasa imerudi, hata Twitter uwa wanatuma ujumbe wa maujinga ya TCRA kama walivyosema ila wao hawafungi wanapuuza
Insta ni kama wana wakala anawafanyia hizi kazi
Hapa ni Mwanza.
Asante sana Wafanyabiashara wa Mwanza kwa kuunga mkono Maandamno ya #77Tunatoka kwa kufunga maduka yenu.
Leo Gen-Z wamefanikiwa kumkosesha Nduli Idd Amin Mama mapato nchi nzima.
Bila Haki, bila Katiba Mpya, bila kukomesha matukio ya utekaji na kuwapa watu kesi za Uongo hakuna kukusanya kodi.
Haijaisha mpaka iishe.
Hebu nicheke mie 🙄 ni milio tu huko ndani!
Yaani hawa maaskari na mabosi wao ndo wanashtuka kuwa akina Mwaipopo wanalipwa pesa ndefu huku wao wakihaha - kuna vita itakuja muda si mrefu huko ndani moto unafukuta unaunguza! Tatizo hiki kimama hakina hekima anafikiri akina Mwaipopo wataweza kumsaidia!
Mi nashauri vyombo vya dola wamalizane na hawa wahuni akina Mwaipopo mapemaaq kabla hatujageuka kuwa kama Haiti! Ohooo! #TutaelewanaTu #77Tunatoka
Ujumbe unasema: .. tumedharauliwa vya kutosha. Serikali iwanawatumia hawa wahuni kina Shehe Mwaipopo kupambana na wananchi halafu lawama zote kwetu.
….
Siku inakuja na haiko mbali kundi hili la Mwaipopo litajikuta linaingia vitani na vyombo vya ulinzi...
Makundi haya ya kina Mwaipopo hayajitolei, yanalipwa, wakati sisi watumishi wa vyombo tuko kazini na hatupati posho zetu kwa kuambiwa tuwe
wazalendo tujitolee!! Mbona Mwaipopo hajitolei na sasa kapewa ulinzi na gari?”
Mpooo?
Sote tuseme 👉🏽 #SamiaMustGo
Kariakoo, thank you for closing businesses in observance of Maandanano call against Samia’s bloody rule. Mmeandamana kimpango wenu wanetu🫡
#Saba7#Maandamano#SamiaMustGo
This is bullsh*t @Meta what law did I break - show us the letter from the Communication Authority and the law they used!
Number two these are repressive laws that even international bodies have ruled are against basic human rights!
You are doing the murderous regime’s bidding and not following your own policies @OversightBoard@SenTedCruz@SenatorShaheen here is an American company following repressive laws of a regime that admitted to killing its own citizens and supressing freedom of expression!
How sad! @SenateForeign@SFRCdems
Amkeeeni! Pigo lingine kwa serikali haramu! ✊🏽Kimama na genge lake la wauaji wameangukia pua! Hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza!
Tunasema hivi bila haki hakuna amani! Mzee Dangote ana akili kama mchwa anaelewa kuwa #Tanzania si salama! Na vikwazo vinakuja hadi dola zitapotea mtaani! Kaona uwekezaji wa mabilioni ya dola iko salama Kenya! Atuache tukomboe kwanza nchi!
Nasema tutabanana ila hatuwezi kuruhusu mtafune nchi huku mmemwaga damu za maelfu ya watanzania!
#TutaelewanaTu