@Sisimizi3 Tatizo Serikali imejaza vichwa ambavyo 24/7vinawaza kupiga michongo tu. Serikali ifanye hivi:
1. Kampuni zote za Mabasi ziamriwe kupangisha Ofisi Magufuli Stand (hata wasipozitumia) wakusanye kodi za pango.
2. Basi zote zinazofanya safari kwa siku lazima zilipe ushuru wa stand
@kafulila_david Ofisi yako ikipunguza Rushwa na kutaka %kila project, angalau tunaweza fika huko. Nina barua mezani kwako tangu last year kuijibu tu imekuwa kipengele, UNATAKA TUENDELEE KWA MIUJIZA YA KINA MWAMPOSA? PPPC ifumuliwe, na Uchunguzi wa Kina Ufanyike kuanzia kwako!
@MpaleMpoki@Advocate_Jebra@TonnyAdamms@AdvMahinyila@Mwabuk2Boniface Nadhani sasa Taifa tunapaswa kufahamu kwamba, WANANCHI TUMETEKWA NYARA na "Viongozi" Wasiojua dhima waliyonayo kwa Wananchi. Hawaijui Katiba licha ya kuapa kuilinda, hata hiyo PGO ina authorise reasonable force, sasa mawe na risasi kuna reasonability kweli hapo?
@Jaguar_455 Hizo Wizara ni Serikali zinazojitegemea au zote ni za Serikali Moja? Iliyoshambuliwa ni Serikali kwa ujumla, fedha zinazojenga barabara zinatoka kwenye kodi za watanzania, Rio ameletwa kwa Kodi za Watanzania,Je,tunamhitaji Rio kuliko Barabara? Msukuma anawadharau wasomi aina yko
@fintanjr_ Punguza kuleta story za "inasemekana", nenda kanisani kwake ukahakikishe kama yupo au lah! Kwenye sakata lake na serikali, Srrikali yako ndiyo iliyokula mweeleka
@_zack255 Takataka, Ndio uzi mliopewa leo wa kujifariji? Mnapumuliwa Visogoni wote na huyo aliewapa hii script muimbe mkisikilizia Mshedede kwenye matundu yenu! Rubish
@MpaleMpoki Hongereni sana Senior @MpaleMpoki and the Team. Wasilisho lenu CAT ni Darasa tosha hasa kwa Majaji ambao wameingia kwa vigezo vya Ukada. Kuna Kazi kubwa sana kuirejesha Mahakama kwenye position yake, kuna namna imeanza kujisahau
Hongereni @ChademaTZ2
Kwakushinda dhuluma iliyokuwa mbele yenu, Zuio la kufanyakazi ya siasa ulikuwa ni uhuni kama uhuni mwingine,Haki imeshinda dhidi ya dhuluma,Umma unahitaji kuongozwa kuchukua Haki iliyocheleweshwa!
@swahilitimes 1. Walipaswa kushirikishwa
2. Walipaswa kupewa kipaumbele
3. Wanapaswa kuwa Wawekezaji Wenza kwenye huo uwekezaji, walipaswa kuunganishwa na taasisi za fedha wakopeshwe ili wapaboreshe wao pamoja na Mwekezaji (kama ni lazima awepo).
Hivi huko Serikalini hakuna kabisa wny AKILI?
@kwamekivaisi@UKinTanzania@MYoungFCDO Sovereignty is never ABSOLUTE! Visit the principle of Jus Cogens! Tanzania is a Member to a number of International Treaties, hence, it is bound to adhere to! Shule mlienda kusomea Ujinga?
@kwamekivaisi@tanpol Ndio Shida ya watu wajinga kama wewe, wanaoteseka kwa Lissu kukaa gerezani ni nyie zaidi hata ya yeye anavyoteseka. Tafsiri sahihi hujenga Jurisprudence na kuacha precedent ili wajinga kama nyie mkome kupeleka watu polisi na mahakamani kwa vitu vya kipumbavu! Kichwa Chako!