Nimetimiza ahadi yangu kuichangia CHADEMA MILIONI 3 live mbele ya Watanzania.
Niliahidi michango ikifika 200M nitaanzisha safari ya kuelekea MILIONI 334.
Kampeni yetu ni “changa TENA NA TENA” mimi nilichanga 1M kufungua kampeni.
Nikaja kuchanga 2M ilipofika 100M kuanzisha safari ya 200M.
Leo tena nimekuja kuchanga 3M Kuanzisha safari kuitafuta 334M.
Kwakuwa nimesisitiza “Changa tena na tena” mimi pia sijamaliza—nitachanga tena 1M tukifika 300M kuanzisha safari ya 334M.
Huu ujumbe maalumu kwako uliechanga, hakikisha unachanga “TENA NA TENA” tutapumzika tukimaliza 334M.
CHANGIA SASA—MPESA.
0744446969
Jina: CHADEMA HQ
REPOST 500.
Kanipa namba yake jana, leo asubuhi kanitumia meseji "Am Bored"..
Nikamuuliza shida nini , kajibu "Bando langu la mwezi limeisha" akamalizia na vi emoji vya kulia.
Mwenyezi Mungu awabariki wote wanaobeba majukumu ya familia zao, Awatie nguvu wanapochoka, awafungulie milango ya riziki, na awape afya, hekima, na amani ili waendelee kuwa tegemeo la wapendwa wao.

WC imeisha na banters ziishie hapa, tunaendelea kusubiri ligi kurudi tuanze kubonyeza 💰
Oi tucheki hii trial ya leo, mwenye touch kali adondoshe odds 5-10 humo.
5MXZBL

Rodri kaanza kucheza namba 6 Spain baada ya Busquet kutangaza kustaafu, wakati wote huo alikuwa analazimika kucheza kama beki 😂.
Yeye kapata bahati kucheza Spain yanye oryazabal, Dani olmo 😂. Angecheza kwenye era ya kina Andres, Xavi, David Silva, David Villa hakuna tuzo angetwaa mbele yao hao wakubwa