@RevocatusMagum1 Leo hii kama mnataka striker complete package labda simba wapewe udongo wamtengeneze uwezo wa kifedha mdogo bado kusajil mchezaj 1b tzsh hatuwez tushawai kataa akima cissee. Bance wakiwa wadogo tu saiz tumeambiwa 1b tumepoteana🤣 binafs Sangare ni mzur i know him
@RevocatusMagum1 Labda nikujuze kitu, kuna good playerd weng sana ambao simba ilishawai kuwakosa kwa hoja ya kufata youtube, talent inakua scouted inaonkena simba haina uwezo wakupata pure cream sokon huo ndo ukwel mara 10 hawa hawa wata develope kuwa elite footballers thus all
@ThomzJoseph Kwa team inayotaka complete midfilder aje aoneshe kitu nankupambania makombe bas MATEUS FERNANDEZ n complete package kwa angle nyng sana ana tick box karibu kila eneo on attacking and of the ball
@Narrowbeeflying My Dad gave me a formula miaka ya nyuma wakat naanza kupambana alisema hvi yan ukichukua kodi ya miez 6 ya nyumba unayopanga make sure isizid take home ya salary yako hapo unatoboa na si vinginevyo
@RevocatusMagum1 Mchezaj mzur hajifichi mkuu cise kaanza kuhusishwa na team kama orlando na kaizer since dirsha dogo hili lililopita wanacheza nae wanamuona kule utegemee kizur wasikione? Kama simha wanamtaka wakapambane tu wachezaj wako wengi sana wazur
@YehoYaqim08 Hii haina tofaut kabisa na ile ile simba wanaitaj namba 10 kama chama😂 waambie mfano nan utasikia watafute its simply wanaumwa Chama syndrome same to aucho na hawato kuja kumpata kama aucho ng'oo😂 he is gone wa stick na waliopo maisha yanaendelea they may b bettr dan aucho
@YehoYaqim08 Tatzo kubwa la mashabk wa mpira wa hii nchi ni kwamba wakishamkubali mtu akilin mwao wanataka ata anaekuja awe kaka uyo uyo alieondoka lakn dunia we cant be equal aucho n yeye na hao wengine n wao waliopo wanapambana sana kwa uwezo wao tumepat akina aziz golscorng midoz etx