Hizi Sendo Mbali Na Kwenda Kuangalia Mpira Weekend Jaribu Na Kanzu Au Short Trouser Hutojuta🤗
🔸 Price 15k
🔸Zipo Kila Size Na Muundo Tofauti
🔸 Call/Whatsapp 0688759534
🔸Kindly Nisaidie Kurepost Mteja Anaweza Kuwa Kwako.#sokoletu#nipedili
Hii tren nime @edit kutoka odds 140+ had nikatoa odds 23+ za motoo kwel
Tayar kwenye group kama unazitaji
Chap chap kuretweet zikifika @100 natoka code 🤑🤑🔥🔥🔥💎
Nimekaaaa,
Nimeshindwa Kuvumilia!
Muda Si Mrefu Nashare
Maokoto yangu,
Ila kikubwa Sio
hicho, Kikubwa
Ni wewe unaweza...
Toboa vipi kwenye,
Huu Mchongo...
Notification ON👇🏾
Maneno Hatari!
SIRI kubwa ipo kwenye
Maneno unayochagua
Wakati wa Kupost...
oK, How?
Kuna maneno ukiyaandika
Hakuna Binadamu yote
anachomoka...
Yaani lazima yata Trigger
Emotion zake!!
The momment tu...
emotion zako zina kuwa trigged,
Automatically una Act...
Utaniuliza,
Kwanini nakwambia haya yote?
Sababu ni Moja tu!
Sikia...
→Secret
→Banned
→Illegal
→Taboo
→Hidden
→Covert
→Exposed
→Undercover
→Censored
→Unbelievable
→Invitation-Only
→Insider
→Private
→Members-only
→Exclusive
→Behind the scenes
→Classified
Fanya kila Namna unapo post,
Husisha Maneno kati ya Hayo!
...hii Strategy inafanya kazi 100%
Madini Time😌
Ukiandika Tangazo na Walengwa wako wakasema...
"Wow hili ni Bonge la Tangazo"
Umeshafeli kama Mwandishi...
LAKINI...
Ukiandika Tangazo na Walengwa wako wakasema...
"Wow Nitaipataje Hii Bidhaa?"
Umeshafaulu kama Mwandishi
P. S. Lengo la Copy ni KUUZA