Yaan mimi niwe muwazi La liga naweza nikaangalia el classico na wale wawili wakikutana na atletico
Lakini EPL na steaam hata game ya newcastle na everton. Sjui nyie wenzangu ubora na league mnaupima vipi
For me EPL ni best league in the world by far.
Kuna washabiki wa Arsenal wanajiulizaga Saliba akirudi atacheza wapi kwasababu ya Konsa.
Kaangalieni namna Saliba alimkaba Harry Kane game iliyopita alafu angalia na leo namna Harry Kane yupo free utapata jiby.