Siku ya Choo #WorldToiletDay inalenga kuongeza uelewa na kuhamasisha watu zaidi ya bilioni 4.2 ambao hawana vyoo bora ili kuhakikisha hadi 2030 wametokomeza kabisa tatizo hilo ambapo mabadiliko ya tabia nchi kama mafuriko yanazidi kuhatarisha afya & maendeleo. #MaendeleoNaChooTz
"Simba ndio klabu ya kwanza Afrika ambao inakiongozi mwanamke Miss Barbara. Simba ndio timu ambayo inalipa vizuri kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, na Simba ndio klabu ya kwanza kupata tuzo ya YouTube kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati."- @moodewji
Mabadiliko ya hali ya hewa yanayoendelea kama mafuriko yanaweza kuleta athari katika makazi. Mfano: vyoo kujaa, maji ya vyoo kuzagaa mitaani na watu kujisaidia maeneo ya wazi.
Hii inaweza kuwa chanzo cha magonjwa kama kipindupindu na kuhara.
#MaendeleoNaChooTz#WorldToiletDay
Kutoka Bungeni:Manyoni Mashariki ninawakilisha. Agenda yetu ni kuwatumikia watanzania kwa weredi wote,ubunifu wote na uaminifu mkubwa. Tupo kumsaidia Raisi wetu kutimiza ndoto yake ya kuijenga Tanzania.
Maisha yetu huwa na maana sana pale tunapogundua kila siku ambayo tuko hai ni zawadi bora toka kwa Mungu tunayopaswa kuitumia kutenda mema & kusaidia wengine kufikia ndoto zao kwa maana kuna furaha zaidi kwenye kutoa kuliko kupokea.
Anyway, in nicer news, I’ve been working on a project for months now behind the scenes and I can’t wait to share it with you all next week. It’s something I’m really proud of and something I feel our children need. Best get back to work on it. Enjoy the rest of your Sunday! ♥️
''Kuhusu Simba kumsajili Tonombe Mukoko, kusema ukweli hata kwenye bodi hatujaliongelea, ni propaganda tu. Tunachofanya ni kusikiliza kocha anasema wapi kuna mapungufu na tunayafanyia kazi."- Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mohammed 'Mo' Dewji
🎉🔴 Happy 46th Birthday to Manchester United legend and one of the greatest ever midfielders, Paul Scholes!
👤 718 apps
⚽️ 155 goals
🅰️ 70 assists
🏆 11 Premier League titles
🏆 2 Champions Leagues
🏆 3 FA Cups
🏆 2 League Cups
🏆 Club World Cup
Midfield maestro.
WE ARE CHAMPIONS
Timu ya Tanzania ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 wameshinda ubingwa wa COSAFA baada ya kuwafunga Zambia kwa mikwaju ya penati 3-4 baada ya kutoka 1-1 baada ya dakika 90.
Hongera Sana mabintib zetu.
Watoto wa aliyekuwa mlanguzi wa dawa za kulevya wa Mexico, Joaquin "El Chapo" Guzman wamejenga shule ya muda kwa ajili ya watoto ambao hawana uwezo wa kufuatilia masomo mtandaoni kupindi hiki shule zimefungwa. Watoto wamepewa kompyuta na vifaa mbalimbali.
MBAO FC YAUZWA
Mkurugenzi wa ufundi wa zamani wa TFF na kocha wa zamani wa timu za Taifa hapa nchini Ammy Ninje, ameinunua timu ya daraja la kwanza ya Mbao FC ya jijini Mwanza.
Rais Dkt. @MagufuliJP amekihamisha Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kwenda Ofisi ya Rais. Amesema anataka kupambana na wale wanaokwamisha uwekezaji, kwani anataka muwekezaji apewe kibali ndani ya siku 14.
Mwalimu wa Kike wa Mazoezi ya mwili Titusville Middle School,USA, Rochelle Cressman (33) amehukumiwa miaka 12 jela, baada ya kukiri kufanya ngono na Mwanafunzi wake wa kiume (14) mara 2 kwa wiki kwa miezi 8 “alitishia kujiua na kumuua Mtoto kama angetoa siri”
#MillardAyoUPDATES