In prison break,Micheal scofield did not eat
In Merlin,Merlin did not change his clothes
In Squid Game, no one ever used a toilet 😭
What other fun facts have you noticed in a movie?😂
Wewe ni mkata mbao??
Gasoline chainsaw
Germany Ayredun Chainsaw Logging Gasoline Saw High Power Household Chain Saw Small Chainsaw Chainsaw Tree Cutting Artifact
600,000 tu
Karibu nikusafirishie ❤️
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia kijana Baraka Hassani Juma (19), kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa).
Mtuhumiwa huyo, ambaye ni mkazi wa Kagongwa, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, anadaiwa kutenda kosa hilo Januari 05, 2026, katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Januari 18, 2026, na Kaimu Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Faustine Mafwele mtuhumiwa alikamatwa kufuatia ufuatiliaji wa kina uliofanywa na askari polisi. Baraka alinaswa Januari 17, 2026, katika nyumba moja ya kulala wageni (Guest House) iliyopo eneo la Ukonga Mombasa, Dar es Salaam.
“Kutokana na ufuatiliaji wa kina Januari 17, 2026 mtuhumiwa huyo alikamatwa katika nyumba ya kulala wageni eneo la Ukonga Mombasa Dar es salaam akiwa pamoja na mwanafunzi huyo akijiandaa kuondoka nae kwenda Kagongwa Wilaya ya Kahama Shinyanga”
Jeshi la Polisi limeeleza kuwa bado linaendelea na hatua zaidi za kisheria dhidi ya mtuhumiwa kwa kushirikiana na mamlaka nyingine husika.
Aidha, Polisi mkoa wa Dar es Salaam imetoa onyo kali kwa jamii, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote atakayebainika kutenda makosa ya namna hiyo, yanayolenga kuwaharibia mustakabali wa maisha na elimu watoto wa kike.
🚨💣 BREAKING: Marc Guehi to Manchester City, HERE WE GO! 💙
Official proposal accepted by Crystal Palace right now — understand fee will be around £20m.
Guehi has ACCEPTED move to #MCFC.
Exclusive story, now confirmed. 🧨
🚨 BREAKING: Oliver Glasner confirms Marc Guehi is OUT from Palace squad this weekend…
…as he’s close to joining Man City as exclusively revealed today. 💣🔵
“His move is at final stages”, Glasner says. 👀