A Storyteller from Tanzania | @mkeka_jarida | Musician 'bofya url' | @VaaKipekee | Mwanachama wa mtandao wa 'Graca Machel Women In Media Network- #GMTWIMN
Je vitabu mashuleni vinatosheleza ama tunaeneza elimu kasuku? Ufumbuzi pa makala, nlipopata fursa ya kuongea na walimu zaidi ya 30 tokea shule za mikoa mi 4, pamoja na wachapishaji nchini. #ChangeTanzania@G_MachelTrust#GMTWIMN
https://t.co/4P2xA88a4S
Mama said they'll be days like this, they'll be days like this Mama said.
Pichani mdogo wangu pekeee @cathy.uliwa wa kike, she invited me to this killer wedding at Diamond Jubilee recenly. https://t.co/2N8XlRgIQ2
@bajabiri@TaruraTz Kwa kweli hizi faini sio haki. Uchumi ulivyo sasa hivi, watoza parking hawatoi risiti hapo hapo. Ili naomba mliangalie mtu unapaki huoni risiti baadaye kumbe una deni la miezi. Ni muhimu sana kuona zile risiti kipindi hiki mafuta yamepanda serikali yabidi mtusaidie @TaruraTz
Culture journalist, poet and musician. @CarolAnande has over 12 years working in the creative sector in #Tanzania, and is also the co-founder of 'WakaPoetsTZ'.
She will be facilitating a creative meditation to support your wellbeing tomorrow evening.
https://t.co/kCr5JYaPQK
Leo nimefurahi sana yaani!.. Ni kweli walikukadiria mama. Ndiyo maana wengine wakaacha msiba Moshi wakakimbili Mwanza kuja kutunisha kifua. Wakapunguzwa urefu
Nyakati hizi siyo jamaneeee!.. eeeh
https://t.co/N5KQ5Tt05Q
Wanahabari tunajukumu kubwa la kuikumbusha jamii kua Umasikini ndio chanzo kikubwa sana cha vitendo vya ukatili wa kijinsia. Ni muhimu kutoa elimu kupitia vyombo vya habari ili kukomesha vitendo hivi vya udhalilishaji. #WomenInMediaTz#ZuiaUkatili#16Days
When you see things in your world - a part of nature, another aspect of life - that appear separate from you, just look at them deeply. Look into them. True separation, from anyone or anything, is simply not possible.
The “story of our lives” tells people what we have done and the road we have travelled, but it says nothing about the fundamental essence of Who We Are. It fails to address the spiritual component, which I have come to understand is the most important aspect of all.
Zaidi ya 50% ya watanzania wakiumwa hawaendi hospitali na hutumia tiba asili hii inatokana na kuziamini japo taarifa potofu ni nyingi
| ~Prof Hamis M Malebo Mwenyekiti tiba asili
#FreedomFightsFake#TokomezaTaarifaPotofu