Agenda ya usawa wa kijinsia inapaswa kuwa shirikishi na kuimarishwa katika ngazi zote, ili vijana wengi waweze kushiriki kikamilifu na kuifanya isiwe tu ya kisera bali ya utekelezaji wa vitendo.~ Mkurugenzi @ElimikaWikiendi , @massawejk#KizaziChenyeUsawa#GenerationEquality
Amefufuka! Kristo amefufuka!
Tunapoadhimisha ufufuo wa Yesu Kristo, tunakumbushwa kuwa baada ya giza la mateso, kuna mwanga wa ushindi. Pasaka ni msimu wa matumaini mapya na mwanzo mpya.
Na sisi @TawlaTZ , katika kuadhimisha Siku Kuu hii, tukisimamia utetezi wa haki na usawa wa kijinsia, tunawatakia ninyi na familia zenu Pasaka yenye amani, furaha, na baraka tele. Upendo na ushindi wa siku hii ukaangaze katika kila jambo mnalolifanya.
Heri ya Pasaka kwa Wadau, Wanachama, na Watanzania wote!
#Pasaka2026
#EasterSunday2026
#HappyEaster
#HakiHainaJinsia
Tomorrow, we go live! Join Us @TawlaTZ and our partner @ATE_Tanzania for an insightful webinar designed to equip you with the tools and knowledge to navigate today’s legal landscape. Whether you are a legal professional or a rights advocate, this session is for you.
- Date: Tomorrow
- Time: from 2:00pm - 4:00pm
- Registration Link https://t.co/lzSC7xkNQ9
#LegalTech
#WorkplaceRights
#WomenLawyers
#LegalEducation
#HakiHainaJinsia
Wakati Tanzania Ikijiandaa kujiunga na mataifa mengine kusheherekea siku ya wanawake Duniani,Serikali imeshauriwa kufanya maboresho mbalimbali ya sheria yatakayochochea upatikanaji haki na usawa wa wanawake na wasichana kufikia Dira2050
#SikuYaWanawakeDuniani2026#HakiHainaJinsia
Tunasisitiza umuhimu wa kufanyika kwa mapitio ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971. Ikumbukwe kuwa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu wasichana kuolewa wakiwa na miaka 14 kwa ridhaa ya mahakama na kuanzia umri wa miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.
#SikuYaWanawakeDuniani2026@TawlaTZ