Kufungwa miaka 3 jela au faini ya milion 7 kwa kijana Mbise mwenye miaka 20 ni kielelezo kingine kwamba serikali ya @SuluhuSamia inapaswa kunyimwa misaada na jumuiya za kimataifa. Huyu kijana amewarekodi makalani wa uchaguzi waliokuwa wakiandikisha watoto wadogo,ameishia kufungwa
Leaked Hillary Clinton Emails Revealed NATO Killed Gaddafi to Stop the formation of a United States of Africa.
Of the 3,000 emails released from Hillary Clinton's private email server in late December 2015, about a third were from her close confidante Sidney Blumenthal. One of these emails, dated April 2, 2011, read in part:
"Qaddafi's government holds more than 143 tons of gold and a similar amount in silver ... This gold was accumulated prior to the current rebellion and was intended to be used to establish a pan-African currency based on the Libyan golden Dinar.
This plan was designed to provide the Francophone African Countries with an alternative to the French franc (CFA)." In a 'source comment', the original declassified email added:
Africans will disturb the entire social media with posts about Supporting Israel saying "we stand with you Israel" the same country that has made them to stop thinking...
Now in DR Congo, Sudan and Ethiopia who really need help, no body is saying anything about it. 😱😱💔
🔷Kesi ya RC kulawiti mwanafunzi wa chuo Mwanza danadana.
🔷Kesi Pauline Gekulu danadana
🔷Kesi ya Afande aliyetuma wabakaji imefutwa.
🔷Ila kesi ya kijana aliyerekodi tukio la makalani kuharibu uchaguzi amefungwa ndani ya saa 48.
@judiciarytz mmekuwa sehemu ya wapora haki?
Tulia $2.5million Betina Ackson ni adui namba moja wa Tanzania. Huyu mwanamke alikula rushwa ya $2.5million za DP-WORLD na ndio maana alizuia mjadala wa hiyo kampuni. Leo watu wanatekwa, wanauwawa, anazuia watekaji wasijadiliwe Bungeni. Huyu kibibi ni shetani mkubwa. Mkataeni.
Mashindano ya Qur'an mshiriki anavalishwa kofia ya CCM yenye picha ya Samia. Haya ni mashindano ya kiislam au mashindano ya kumnadi Samia!
Oya nyie mashehe ubwabwa, msituletee njaa zenu kwenye dini yetu. Samia hawakilishi uislama anawakilisha chama chake cha CCM. Tafadhalini sana