#SikilizaTogolani "Usidanganyike na ule ukarimu wa marafiki mkiwa kwenye starehe. Wale unaostarehe nao hawatakuuguza. Hela za starehe huwa zina mwiko kutumiwa kwa dawa na matibabu. Usije kulaumu watu. Kuwa na Bima ya Afya". Mshauri Wangu wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe