Ili uishi vizur na wenzako usiwatendee ubaya ukadhani kuwa utakua salama "ubaya ulipwa kwa ubaya ipo siku ubaya wako kwa wengine utakurejea kama sio kuwarejea watu wa uzao wako"
Usipime ukubwa wa mafanikio ya mtu kwa kuangalia vitu ananunua. Sometimes anaweza kununua Benz kwa hela alizopata baada ya kuuza kiwanja cha familia bila familia kujua. Ishi kwa spidi yako, watu wasikupigie kelele.