'Pendekezo letu ni uwepo wa mifuko michache yenye nguvu na inayoweza kuleta tija kwa wananchi.'
-Oswald Karadisi, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
'Tuko kwenye mchakato wa uchakataji wa taarifa kutambua wachimbaji. Lengo letu ni kuwatambua na kufahamu changamoto zao ili tuweze kufahamu njia bora ya kuwasaidia.'
-Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini
#InternationalWomensDay2024#IWD2024
'Tumejikita kwenye kutoa elimu kwa vikundi kuwasaidia wanawake kubadilika kimtazamo na kielimu pamoja na kuwapa msukumo wa kuingia kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini.'
Injinia Theostina Mosha- @fadevtz#InternationalWomensDay#InternationalWomensDay2024#IWD2024
'Tunawaandaa vijana kupitia mafunzo, kuwaeleza changamoto za sekta na namna ya kuzitatua. Juhudi zetu zilianzia Dar Es Salaam ambako vijana wengi walikua na shauku ya kujua namna ya kuongeza thamani. Mpaka sasa tumeshawapa vijana mafunzo ya kukata madini, kutengeneza bidhaa kutokana na madini pamoja na namna ya kupata masoko ya bidhaa zao.'
- Salma Kundi Ernest- Tanzania Women Miners Association
#InternationalWomensDay #InternationalWomensDay2024 #IWD2024
'Ushiriki wa wananchi na wataalam wengine ni muhimu na inasaidia sana kwenye kubadili sheria na kanuni ili kuweka mazingira bora kwa wadau na makundi mbali mbali.'
-Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini
'Tume ya madini imetoa leseni 33 kwa vikundi vya Tanzania Women Miners Association (TAWOMA)'
-Salma Kundi Ernest, Katibu Mkuu Tanzania Women Miners Association (TAWOMA)
From boardrooms to mining sites, women play a vital role in the extractive sector. It’s time to invest in their leadership, skills, and opportunities. Together, we can accelerate progress and drive positive change. @hakirasilimali_#InternationalWomensDay
Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali @adamthony akiwakaribisha wageni kwenye kongamano kujadili masuala mbali mbali yanayowakabili wanawake kwenye sekta ya uziduaji kuelekea siku ya wanawake duniani.
#InternationalWomensDay2024#IWD2024
'Tunatambua umuhimu wa kutatua changamoto zinazowakabili wanawake katika sekta ya uziduaji. Licha ya mchango wao muhimu, wanawake wanakabiliwa na ubaguzi, ukosefu wa fursa na elimu kwenye sekta ya uziduaji. Hizi changamoto ni endelevu na tunaendelea kuifanyia kazi.
Tuna fursa ya kutunga sera zitakazowezesha kujenga mazingira rafiki kwa wanawake na kuhakikisha wanawake wanapata nafasi sawa katika kufanya maamuzi ya yale yanayowahusu.'
- Francis Mihayo, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini
#InternationalWomensDay2024 #IWD2024 #WomensDay
Mamlaka ya Takwimu inaonesha kwa mwaka wa fedha 2020/21; sekta ya uziduaji ilitengeneza ajira 218,353. Kati ya ajira hizo, wanaume walipata ajira 176,815 na wanawake walipata ajira 41,538 pekee.
- Francis Mkasiwa- Haki Rasilimali
Last year @ZIC_Insurance hired us for their rebranding work and here is what we did. ✨
Our approach was all about understanding ZIC inside and out. We dug deep into their history, values, and goals to create a brand that honors their legacy while feeling modern and relatable.
2024 Tanzania Social Media Trends: Navigate the Currents with Confidence.
As a Digital PR Specialist, I'm constantly tracking the evolving social media landscape. Here are key trends brands need to navigate in 2024:
Short-form Videos Reign: Micro-content wins! Bite-sized video engagement soared in 2023, especially on platforms like Instagram and Facebook. Exim Bank, ZIC Insurance, and others started in 2023 and it was a success. Adapt and strategize for young audiences (18-40) to thrive.
TikTok Wave Arrives: 2024 will see a surge in TikTok adoption. Its short-form dominance and new features attract brands, but remember, the platform demands specific strategies. The 17-25 age group dictates, so keep content clear, shareable, relatable, and easily digestible. Consider partnering with experts like Century CL to unlock your TikTok potential.
Challenges Ignite Engagement: Creative hashtag challenges and collaborations with content creators can fuel brand awareness, visibility, and sales. Don't miss out on this engagement booster!
Podcasts: The New Frontier: The rise of podcasts and their subsequent virality across social media presents a unique opportunity. Consider incorporating podcasts into your strategy, either by launching your own or participating in trending shows.
Quality is King: High-quality content reigns supreme. Remember, user experience matters, and audiences crave visually appealing and informative content.
E-commerce Evolution: Social media platforms are morphing into e-commerce havens, especially in Tanzania. Drive sales by getting creative, humanizing your online presence, and transforming your social media pages into vibrant virtual marketplaces.
Usage of AI-generated Images & Videos: As AI keeps on developing there will be a huge use of AI-generated content in 2024. Expect creative designers to use most of these contents in your designs and videos.
Stay Relevant, Thrive: These trends offer a glimpse into 2024's social media landscape. By embracing them, staying relevant, and leveraging expert guidance (like @CenturyCL), you can navigate the ever-changing social landscape with confidence and success.