WCF yapongezwa kwa kujumuisha Wafanyakazi Wenye Mahitaji Maalumu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, ametembelea banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Usalama na Afya