"Kuna watu wanasema Nchimbi tatizo lake ni ana vimisimamo, Kwenye mambo ya msingi mimi nina msimamo, kama mnataka kunitimua kwa misimamo nitimueni leo leo!" -Emmanuel Nchimbi
#TutaelewanaTu
Moja ya video inayosambaa kwa Kasi zaidi katika mitandao ya Kijamii ikimuonesha Baba mmoja akijaribu kutoa somo la umuhimu wa kuwa na Siri katika maisha Yako.