🚨🚨#Tanzania ‼️🚨
Ole Sendeka speaking to his people in Maa language told them that they should be ready to protect their land
@SuluhuSamia has a huge plan to take the Maasai land not only in Ngorongoro but Simanjiro and their entire ancestral land
Truly EVIL!
Ole Sendeka survived an assasination attempt yesterday! This is related 💯
#ChangeTanzania
Nchi hii inaumiza sana.Aliyepigwa risasi mbele ya CCTV Camera ktk Mji wa Serikali Dodoma uchunguzi wake haujaanza mpaka leo, lakini aliyeshambuliwa kwa risasi akiwa maporini timu ya Makao makuu Polisi wameshaanza uchunguzi kwa kushirikiana na Polisi Mkoa Manyara. Binadamu wako CCM sisi wengine ni kama panya tu Nchi hii.Inasisimua sana tena kwa hasira kuu.
CHACHA Heche aliyeng'atuka Ukatibu wa Chama cha CHADEMA Mkoa Mara, ametangaza nia ya kugombea Uwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa chama hicho katika mkoa huo maarufu nchini. Heche mwenye msimamo wa kulia kati ni mwanasiasa anayependa haki za kidemokrasia.
@ChademaTz@Chachaheche1
MARA MPOOOO MWL CHACHA HECHE ASHINDA CHADEMA. Mwl Chacha Heche ameshinda nafasi ya M/kiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, baada ya kuwashinda Bashiri Seleman Sauti na Jacob Maiga kwa kura 59, katika uchaguzi wa tarehe 26.3.2024.
@freemanmbowetz@jjmnyika@Chachaheche1@ChademaTz
Kazi ulizofanya ni muhuri uliogongwa kwenye mioyo ya watu wa Mara.
Nakutakia kila la Kheri katika utekelezaji wa majukumu yako mapya kama Mwenyekiti Mkoa wa Mara.
@chacha_heche
CHACHA HECHE KUGOMBEA UWENYEKITI BARAZA LA UONGOZI CHADEMA MARA
Aliyekuwa katibu wa chadema mkoa Mara Mwl. Chacha Heche ametangaza nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti wa baraza la uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mara
"Inshallah nitagombea Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu wa 2020." - Maalim @SeifSharifHamad ametangaza muda huu hapa Hotel Verde, Zanzibar.
@JapasonL@godbless_lema Sasa wewe hoja ni kupinga kuchunguza mauwaji huo ni mpango sahihi ama ni nini kwa maoni yako yako
Na kwa akili yako hii wewe na LEMA nani kilaza ???