Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz anatarajia kuondoka nchini leo tarehe 04 Disemba, 2022 kuelekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi ya siku sita (6).
Tunahitaji taasisi imara, lakini taasisi lazima ziongozwe na watu waadilifu, wenye moral authority. Jeshi la Polisi kwa mara nyingine limekabidhiwa kwa watu wanaotiliwa shaka. Tunamangamanga sana. Sijapenda.
Nipakue Ujisajili
Ni rahisi Kuwa sehemu ya mabadiliko!!
Pakua applikesheni ya Chadema Digital ujisali kidigitali. Uwe sehemu ya mabadiliko.
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
App store: (iPhone)
https://t.co/jfrxFBakAm
Google play:(Tecno/Samsung .n.k)
https://t.co/Z4k5MvZD6F
#TunasongaKidihitali
Kuelimisha watu wako ni wajibu wa nchi. Kwasababu watu ni rasimali namba moja kwa nchi. Sisi Chadema Elimu itakua bora na bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.