Siku moja watu wengi tu watamuwinda #Jasusi... sio kumdhuru bali kumtaka ushauri kuhusu suala zima la "usalama binafsi." By then, Jasusi atakuwa anatoza consultation fee ndefu, kwa kuzingatia kanuni ya mahitaji na ugavi (demand & supply) 😊
“KATI YA RISASI NA MIUJIZA: Simulizi ya Profesa Dr Mpoki na Kupona kwa Tundu Lissu"
Na Emily Mwakilembe
Kwa Tundu Lissu, Prof. Mpoki Ulisubisya ni kama Musa aliyeshuhudia mkono wa Mungu ukiwakomboa Waisraeli kutoka utumwani Misri.
Naam!👇
Since December 29, 2025, two American pilots have been illegally detained in a Guinea, West Africa prison. The pilots were dragged off their plane after making a scheduled fuel stop in Conakry, the nation’s capital. According to flight logs and radio recordings, air traffic control had granted the pilots permission to land. What came next should not be tolerated.
Moments after landing, approximately 100 armed soldiers surrounded the plane with automatic rifles and armored vehicles. The pilots, who do not speak French, were forcibly removed from the plane and taken into custody. Guinea’s government accused the American pilots of entering national airspace and landing without authorization. Recorded ATC communications show clearance was given to the pilots and they had explicit permission to land in the country.
More than six weeks later, both pilots remain prisoners abroad. Guinea’s prisons are described as harsh dangerous conditions, including lack of electricity and running water, severe overcrowding, and inmates rotating sleep due to limited space. Three civilian judges have ruled the pilots committed no crime, and an appellate court has ordered their release yet the military has refused. The multi-million dollar U.S. registered Gulfstream IV jet remains seized by the Guinean government.
Pilot Fabio Espinal Nunez (from New Jersey) and Pilot Bradley Scott Schlenker (from Illinois) remain in a Guinea prison to this day. Their families are urging U.S. officials, including President Trump, to bring the pilots home and to send the Guinean government a message: Detaining American pilots is not tolerated.
Wataru Endo has been stretchered off with a left ankle injury in Liverpool's clash with Sunderland.
Forced eversion at the ankle after putting his bodyweight on it brings concern for a high-ankle sprain/syndesmosis injury.
Due to the high velocity, scans will also need to rule out any lower-leg fracture - fibula is usually the structure at risk here.
Expected Recovery Times:
If high ankle sprain: 8-10 weeks w/ surgery
If fibula fracture alone: 6-10 weeks w/ surgery
If syndesmosis + fracture: 12+ weeks
Scans will need to confirm the extent of the injury. We'll have to wait for further comment from Liverpool.a
Wishing the best to Endo.
#LFC #Liverpool #LiverpoolFC #YNWA #SUNLIV #FPL #FPLCommunity
@Chahali 1. Kuweka mikono nyuma wakati yupo mguu sawa
2. Hayupo smart. Hicho kifungo either angekiacha hivyo, la angekifunga kabla ya kunyanyuka. Huyu hayupo makini
🚨 Uganda’s Military Chief Apologises to United States Following Diplomatic Crisis Over Electoral Violence and Extrajudicial Killings https://t.co/NTclpNT5xt
"Evarist, hii ni video muhimu kuliko zote kwenye chaneli yako. Wadogo zako wa Gen-Z waliotolewa uhai na Samia watakuwa wametabasamu kuona bro wao umewaenzi kwa video maalum. Don't mind hizo views chache, it's about waliouawa sio tulio hai". Prof mmoja on https://t.co/o5xIQwuNgH
Hakuna njia mbadala ya kuing'oa SiSiEmu madarakani isipokuwa kwa MABAVU. Hakuna katiba mpya. Hakuna tume huru. Njia pekee ni MABAVU. SiSiEmu sio wajinga waruhusu katiba mpya na tume huru ilhali wanajua vitu hivyo sio tu vitawaondoa madarakani bali vitawapeleka jela pia.
Kumbe ni ntu ya kitengo? 😳
#Jasusi amepatwa na mshtuko mkubwa sana kwa sababu ni wajibu wake wa kila siku kuwafahamu watu wa kitengo - active and ex - kwa sababu zilizo wazi: to stay alive, you have to know those who wants you dead.
How did he miss this?
https://t.co/rSdMJKBG7G
#Jasusi anaamini kwa dhati kabisa kuwa sababu kubwa ya mkwamo wa Watanzania sio SiSiEmu bali Watanzania wenyewe. Wameruhusu kufanywa hamnazo.
Na moja ya sababu zinazosababisha wafanywe hamnazo ni kukosa maarifa.
Ndo maana Jasusi akadhani kwamba badala ya kulaumu tu, ni muhimu kutenda. Akaja na wazo la kuwaelimisha watoto kwa sababu hakuna shule inayofundisha ujasiri, uzalendo na/au jinsi ya kujenga akili kubwa. Ndo msingi wa projekti ya #JasusiNaAnkoZake.
Unfortunately mapokeo ni hafifu mno. Japo kitabu ni cha bure, lakini kimepotezewa 😢
It is really sad kujaribu kuwasaidia watu wasiotaka kusaidiwa. Na uking'ang'ania kusaidia utaishia kutuhumiwa kuwa una ajenda binafsi.
😢
https://t.co/GeCVOmw8nz
Watanzania naomba muondoe hii mentality kuwa kifo cha Samia kitabadili uonevu, uuaji au ukosaji haki.
Samia is nothing but a puppet of the CCM oppression. Samia akifa leo atakaeshika nchi ni Nchimbi ambae nae kaekwa hapo na Kikwete kwa nguvu, Samia hakumtaka Nchimbi hata kidogo kama mgombea mwenza ni Kikwete ndio kamukwe nchi hapo kwa hiyo hata Samia afe mziki ni ule ule.
Samia hakuingia barabarani na kupiga watu risasi, ni system ya CCM ndio iliingia barabarani na kuua Watanzania.
The only reason CCM ilikuwa haijaua watu bara ni sababu tulikuwa hatujawahi kuandamana.
Mkitaka kuamini nachosema, Zanzibar walipoandamana CCM chini ya Mkapa iliwaua kama mbwa koko. Nachojaribu kusema ni kwamba tatizo sio Rais alieko madarakani, tatizo ni chama cha CCM hakitaki kutoka madarakani.
Matter of fact ushindi wetu utapatakana kama wananchi tukibadilisha mindset badala ya kumchukia Samia tuichukie CCM na vita yetu iwe dhidi ya CCM. Ni lazma Watanzania tuungane kuingamiza CCM na sio ku target mtu mmoja mmoja ndani ya CCM.
Haujalishi Rais ni nani as long as chama chake ni CCM ataua tu kama jinsi tuliona kwa Mkapa na sasa tumeona kwa Samia.
Tusimpe Samia umuhimu tunaompa. Tupeleke nguvu kupambana na CCM
Na akili zenu mnaamini kabisa kuwa #Chinjachinja ameruhusu ushetani wake uwekwe hadharani kiasi hiki? Kuna jambo zito linaandaliwa nyuma ya hii mikutano ya hadhara ya tume ya mchongo.
So #Jasusi anaomba kukupatia darasa fupi lakini muhimu sana, nalo ni kwamba kwenye ujasusi ni muhimu mno kusikia kilichosemwa lakini hakikusikika (sio kwa sababu sauti ilikuwa chini bali kimetamkwa kivingine).
Kwa wakati wako, unaweza kubaini moja au mawili au hata matatu ambayo Butiku kayasema lakini hayakusikika?
[Hiyo video ni ya akili mnemba japo sauti ni halisi]
https://t.co/w4GR0uF9xa
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.
Internet blackouts are a tactic: cut the signal, control the narrative. Tanzania did that after the Oct 2025 election.
CIR reviewed 180+ videos showing shootings, beatings and potential mass graves. Exactly what the government didn't want you to see.
Here’s what we found 👇/1
Hobbes, Sun Tzu and Tanzania’s Intelligence State: TISS–CCM Symbiosis, the Opposition, and the Catholic Church as Counter-Power https://t.co/NHsKFxykrY