Asanteni kwa upendo na sapoti yenu ❤️
Sichukuli poa huu upendo maana kiukweli mnanitetea na kunipambania - hadi kuna wapumbavu wanafikiri nimewakodisha ninyi wote 😅 hakuna pesa kama hiyo duniani! Ni upendo wa kipekee 🥲 nimeguswa sana!
Tupo pamoja hadi tupate ukombozi wa pilli 💪🏽🔥
Hatutarudi nyuma hatutakata tamaa!
No retreat no surrender!
No force on earth can stop an idea whose time has come!
Tushikilie hapa hapa and FOCUS! 👊🏽
#ChangeTanzania
Wamekuteka zaidi ya Mara 3 wakakutesa na kukuumiza vibaya, wamekusingizia kesi ya madawa ya kulevya ukakaa gerezani zaidi ya mwaka mmoja, sasa wamekuteka na kukupoteza, Mungu akutie nguvu Mdude tunakupigania.
@mangekimambi Unalea mtoto mmoja wakati umeuwa 10k Tz innocent citizens. Nilikuwa nampenda huyu bibi yangu akiwa VP lakini akili yangu imeshindwa kuendelea kumpenda kwanini alihalalisha yale mauaji ya Oct 29