@BlackSingapore2 Ukoloni umechangia Kwa kiasi kikubwa
✓Aina ya viongozi tuliobaki nao ni matokeo ya ukoloni
✓Mfumo wa elimu
✓Malighafi zilichukuliwa na hawakujenga viwanda vya kuchakata Africa
✓Ukoloni mambo leo( jamaa walitoa uhuru wa bendera) mfano Burkina Faso ufaransa alikuepo