SWALI LA SIKU
Unafuatilia Bunge la Bajeti linaloendelea?
Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye EATV SAA1 na KISSA DANIEL
EATV SAA1
Kila Jumatatu – Ijumaa
1: 00 – 2:00 Usiku
Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya @Eastafricatv#EATVSAA1#UtajiriWaHabari
Mfumo(SYSTEM) umeanza kuridhika na Lissu! Wameanza kuamini sio dalali na ana nia ya dhati kulisaidia taifa hili!! Defect zimeanza! Yes! The system is defecting from these culprits! TISS ni wazalendo kwa nchi kwanza, Lissu ameleta Mwanga hivyo kuna Tumaini juu ya ukombozi wa Taifa
Mimi Binafsi CCM Sijawai Iamini Hata Siku Moja, Lakini Walipokua Wanaiita CDM “Chagadema” Na Kwamba Kilikua Chama Cha Kikanda Nimeamini Walikua Sahihi Sana.
Ukitaka Kujua Walikua Sahihi Angalia Wanaotoa Milio Sasa Hivi 90% Ni Wa Ukanda Ule Na Ni Wa Kabila Lile
Fukuzafukuza huko Chadema imeshika kasi mpaka usiku wa manane .
Mliobakia huko jipangeni wana lengo la kuwadhalilisha tuu na sio vinginevyo .
Poleni sana wapiganaji na Makamanda .
Watu wa Mbeya hasa Wana CDM hongereni Sana kwa kujitoa kumtafuta kijana na mtanzania mwenzetu bwana @mdudenyagali ili apatikane awe mzima hata kama mfu. Mungu awabariki kwa upendo wenu ipo siku Mungu atajibu.
Hili Jambo lingetuunganisha kama taifa moja kama wengine wangeshiriki
Kosa ulilofanya ni kutishia kuhama dini na hakuna anaenufaika na dini yako popote ukapokuwa, kauli yako ingejikita ktk mada ungapata majib sahihi. Binafsi nachukia sana huu mfumo wa maccm na najua shekh tulie nae yuko ktk haki kwa mujibu wa uislam ni ponda issa ponda.
Hii tweet umedhibitisha watu hii nchi tuna safari ndefu Sana kwenye ukombozi WA kweli.
Yaani wafia dini wamekuwa serious mpaka wananitukana nisihame ila wameshindwa kutumia nguvu hiyo hiyo kukemea maovu na kuwasihi viongozi wetu WA dini kusimamia ukweli.😂😂😂
Soon natoka kwenye uislamu na kuwa m Roman Catholic
Hili dhehebu ndiyo limebaki kuwa wasema kweli wakati wote na ndiyo wao wenye Nia njema kwa taifa hili na viongozi wetu.
Nimeulizwa Tanzania ni wazalishaji wakubwa wa nini..? Nimeshindwa kujibu. Hivi sisi tunailisha nini afrika au dunia. Ni bidhaa/zao gani tunazalisha kwa wingi..? Au ni Tanzanite.
Aliyeandika hii takataka matako yake kabisa! Nchi imevimba hii, on the ground hali iko tense halafu huu ndio ubunifu wanaokuja nao ili kubadilisha upepo! Pumbavu kabisa!
#NoReformsNoElection
HATIMAYE MWIJAKU AKAMATWA NA KUHOJIWA NA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM.
24 Aprili, 2025
-------------------
Tafadhali rejeeni taarifa yangu kwa Umma kama Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu ya tarehe 20 Aprili 2025 na tarehe 23 Aprili, 2025 kuhusu mabinti wanafunzi wa vyuo vikuu waliomdhalilisha Binti mwenzao anayesoma Chuo Kikuu cha Ardhi (jina limehifadhiwa).
Baada ya taarifa hizo, sehemu kubwa ya jamii iliuliza kuhusu lini anayetajwa kama Mwijaku angehojiwa?.
Napenda kutoa taarifa kuwa, tayari Mwijaku amekamatwa na ameshahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam na Mwijaku huyo majina yake rasmi yamebainika kuwa ni Mwemba Burton ambaye ni mkazi wa Dar Es Salaam.
Aidha, wengine waliokamatwa na kuhojiwa pamoja naye ni Mary Matogoro wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Ryaner Mkwawili wa Chuo Kikuu Ardhi; na Asha Suleiman Juma wa Chuo cha Uhasibu (TIA).
Pamoja na hatua hii, Jeshi la Polisi linaendelea na upelelezi kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.
Taarifa za kukamatwa na kuhojiwa kwa watu hawa zimetolewa tarehe 24 Aprili, 2025 na Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam.
SHUKRANI: napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa Wananchi wote walioshirikiana katika hatua zote za kupatikana kwa taarifa zilizowezesha kumpa msaada stahiki manusura wa ukatili huu mbaya. Natoa Rai tuendelee kushirikiana daima katika kuzuia ukatili na kuibua ukatili na udhalilishaji unaofichwa.
Aidha, NATOA WITO kwa jamii tuepuke kuchukua Sheria mikononi na pia, TUISHI MAISHA YA UADILIFU.
MWISHO.
----------------
@maendeleoyajami@tanpol
Wewe nilishachagua kukupuuza sababu unajitafutia umaarufu kwa kutumia jina langu mtandaoni.
Wewe endelea na story zako za vitabu vya Willy Gamba ; japo sijui kama huwa unailipa familia yake mrabaha .
Ishi maisha yako , achana na maisha yangu binafsi, mimi ni Mkristo safi ,elewa hilo na likuongoze daima.