Shut up, hii ni temporary tu, anashikilia kwa miezi tu. Uchaguzi rasmi utafanyika November mwaka huu na kiti hiki atapewa mtu ambae kachaguliwa na wananchi ila nilijua ni lazma ungeipenda hii na kuiposti ili watz waone kama vile kimama kuweka familia yake nzima serikalini ni sawa.
Na by the way, watu wa chama cha upinzani (Democrats) wamepigia kelele vile vile hata hiyo miezi 6 ambayo dada mtu kapewa kushikilia, so what’s your point?????
Tupe story za maridhiano ya ACT na CCM haya mengine achana nayo.
TOP 150 BEST SERIES 🍿🎬🔥
New version 1st march
1. GAME OF THRONES
2. PRISON BREAK
3. THE BADLAND
4. 24 HOURS
5. BREAKING BAD
6. MERLIN
7. LEGEND OF SEEKER
8. PEAKY BLINDERS
9. VIKINGS
10. MONEY HEIST
Nasikia kuna watu wanatoa milio huko kuwa nawa block hapa kwenye page yangu.
Hivi hawa watu ni wageni kwangu au? Mimi huwa nablock machawa wa wauwaji na wenye low IQ maana huwa sitaki watumie platform yangu kueleza upuuzi wao. Na wao wafanye kazi ya kujenga brand zao na platform zao then waspread mawazo yao kwa Watanzania, sio wasubiri kina Mange tufanye kazi ya kujenga platform zetu na majina yetu for almost 20 years then yeye aje kutumia platform yangu kusambaza mawazo yake ya low IQ. No you won’t use my platform kuwafikia Watanzania. Jengeni za kwenu.
Yani ni hivi upumbavu wenu kaandikeni kwenye page zenu sio yangu. Hapa ni unachezea block na ki comment chako cha ki low IQ kinafutwa hapo hapo.
Mimi sio kiongozi wa serikali, mimi ni private citizen, I have the right to block stupidity from my platforms. Serikali ndo inatakiwa ikubali na kupokea mawazo ya low iQ na high iQ maana hata hao wenye mawazo finyu ni elimu mbovu ya serikali imesababisha.
So yeah, only intelligent people ambao wana mawazo sahihi ya kuleta haki kwa Watanzania ili nchi yetu ipate amani ya kweli watapata nafasi ya ku comment, Ila kama una unga mkono wauwaji na unyimwaji haki kwa Watanzania usilete pua yako hapa.
Alafu kwani am that important mpaka mnalia lia hivyo nikiwa-block? Si mkaushe tu?
In the "Bodi" tribe (Ethiopia), the most desirable and attractive men are those with the biggest belly.
The larger the abdominal volume, the more attractive they will be.
Your comments on this ...