Kituo cha DW (Deutsche Welle) kimeripoti kuwa jumla ya Wakimbizi 4,200 wamerejea nchini Burundi wakitokea Tanzania chini ya mpango wa hiyari wa kurejesha Wakimbizi katika Nchi zao.
Ikumbukwe, Juni 2024, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni alitangaza mpango wa kuwahoji Wakimbizi kutoka Burundi kwanini wanasita kurejea nyumbani licha ya kuwa kuna amani kwao, ikielezwa kwa wakati huo jumla ya Wakimbizi 158,902 walikuwa wakihifadhiwa Kambi za Nyarugusu, Nduta, Makazi ya Ulyankulu, Katumba na Mishamo.
Zaidi https://t.co/xHw9ON03Fs
#JamiiForums #JFDiplomacy #Governance #HumanRights
VIDEO:
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amedai kuwa watu wenye uwezo mdogo (aliowaita VILAZA) wanabebwa kwa kujipendekeza huku wale wenye uwezo mkubwa wakiwa hawahitaji kujipendekeza kwani wanabebwa na uwezo wao.
Maombi hayamleti Mungu karibu nasi
Yeye yupo pamoja nasi wakati wote
zaidi ya hayo; Yeye, Mungu Hututendea mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo.
Ikiwa una jambo kama Ushuhuda; Comment chini ni jambo gani Mungu amekutendea tofauti na matarajio yako, kwa kuwa limekuwa kubwa
Joining GBV Champions π to the award ceremony at Cardinal Rugambwa Social Centre I had a great privilege to learn champions' stories together with the efforts they extended to fighting against GBV
they real deserve honor much respect to all champs
5/2/2026
#WiLDAFTz#kasmir