@Trinitymme89@ClintonObonyo No, hiyo sasa ni huruma ya mama ambayo haiwezi saidia anything, cutting one of their arms makes sense to me. If you get caught again snatching with the other hand another time, it get cut as well.
@ITabariit@UnchainedVoiceK Bana tukuwe serious, kwa hizo chuom za mapoko hakunanga tym ya kuchill. Ni kipiga ukizidi. Ukipiga Short ya kwanza river road, ya pili piga pipeline Jo. ๐๐
@SalutRn Mwizi naye siwezi muonea huruma. Kuna wengine walininyang'anya simu pale muthurwa usiku, halafu wanaanza kuchatisha wife wangu ufala mpaka akashindwa nimechizi ama.
@Wawerumoses1@kilundeezy She's already dating someone else bro. Acha kuongea kitu huwezi elewa. I was in this situation 4 years ago, kuoa tena sitawahi.