@Sulphuric_aci17 Da kaka kwa kujifanya unajicho la kipekee, 1v1 kweli unasimama kwa ujasiri kusema jamaa hawezi fanya hayo... hakika ukishangaa ya musa ujayaona, ya sulphuric acid.
@SimbaSCTanzania Poa, na hongera kwa wachezajinkumaluza na ushindi. Ila naomba nishauri kitu. Physic ya wachezaji ipo chini, kila mechi tukitoka half time uwa mpira auonekani. Kipindi cha pili tunapotea kabisa. Ombi langu ndanibya izi wiki mbili kabla ya derby apatikane mtu special wa physic
@EsirEid Wapi ambapo makanisa yanahamasisha watu wao kusherekea hii siku. Mbona ninyi ndugu amuwezi kusimamisha hoja ya kuwaonya watu wenu bira kuweka mopaka na ukristo. Mim sijawahi ona makanisa au Bible inasisitiza habari za hii siku. Acjeni chuki