HILI NI SOMO KUTOKA KWA PROF JANAB - HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LINALOANGAZIA MASUALA YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA HASA LISHE.
- Elimu muhimu sana kwa kila mmoja wetu.
Kila mmoja wetu aone, madini adimu sana.
Video credit: @MuhimbiliTaifa
"Ni heri utingwe na majukumu kuliko usiwe nayo. Majukumu hutuepusha na shari na mitihani mingi ya maisha na hutufungulia riziki. Usipotingwa nayo, utakuwa na muda mwingi wa kuhangaika na maisha ya wengine. Itakugharimu. Shukuru Mungu unayo". ~Togolani Mavura.
@MwananchiNews Je hatujua utamaduni wa tiba za wamasai had leo hii tuwaangalie hospitali?
Je eneo la Loliondo lina miundombinu ya Afya ?
NB:Viongozi wetu wajitafakali namna ya kuongoza generation ya sasa,dunia iko wazi mno.
Shari isiyoepukika, ikabili. Huenda heri yako imo ndani yake. Heri nyingine ili zikufikie bila kuhujumiwa hulazimika kuambatana na shari. Shari nayo ni mimba ya heri.
TAARIFA MUHIMU: Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa Siku Tano Zijazo na Athari Zinazoweza Kutokea. Umetolewa Leo Tarehe 07/04/2020 na Mamlaka ya Hali ya Hewa #Tanzania@tma_services
Wakala ya Mabasi Yaendayo Haraka –DART, inapenda kuujulisha umma kuwa tangu jana, Ijumaa, Disemba 13, 2019 huduma ya choo imekuwa hafifu katika Kituo Kikuu cha Kimara kutokana na kukosekana kwa huduma ya maji katika kituo hicho.