@PapiiKhan98@therealsemsii Nakumbuka shangazi yangu tulimpeleka pale kwa kubebwa lkn wakati wa kurudi alitembea mwenyewe . Baada ya wiki moja hali ikarudi vile vile ...
@RabinBoniface76@Elsukay0 Sasa wewe kwa akili yako unaona yanga kuna wanasheria pale ? Kila siku kesi za fifa na caf haziishi na hajawahi kushinda kesi yoyote
@PoliceKE Some times mambo ya ushindani wa kibiashara @kidiaone_expres wanatakiwa kuwa makini sana na managment yao pamoja na aina ya wafanyakazi wao . Ikiwezekana buses zifungwe servillance camera waache mazoea
@Adventure_36 Kaka tulia kwanza 70k ? Tumia logic ya kawaida tu , gari za tax mtandao % kubwa ni mbovu na chakavu , wengi wanatembelea spare tairi , kumwaga oil tu ni ugomvi , kila siku wanasumbuana na matajiri kwa kushindwa mikataba ..