@ze_mandevu Hata wew ulienae ni mama watt wa jamaa Fulani,kiufupi tunaishi na wapenz wa wapenz wengne na ndivyo ilivyo hakuna wabkupinga labd Kam hajielew
@HildaNewton21 Kila mtu ashinde mechi zake maan ninachojua kumpeleka mtt bwen kila mtu ana malengo yake lakn pia ameangalia wap Kuna minimal risk,msimamo wangu kwa kuweka bweni mtt ata Kam angekua mkubwa to 7 years siwez na mpk Sasa nmemtoa baada ya kujifunza kwa vitendo