@Mwamposa_Clarah It depend km kani nikalizk but km hajanilizixh nilivyo kuwa nataka nitamkadilia xx nimpe or nisimpe kwanz km n mtu wangu siwez kump at that time so inategemea
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo kuvamia ofisi za Clouds Media Group Machi 17, 2017.
Maombi yamewasilishwa mahakamani na mwanasheria wa kujitegemea.
HT: Raia Mwema