@Tilishosafaris@Tilishosafaris_ kwa hadhi ya gari yenu hamtakiwi kufanya haya,mtu una book gari kwa mapenzi kabisa,unapopata emergency na kuamua ku cancel ticket ndo vurugu zinapoanza,I’ve cancelled my ticket 12hours prior,kila mtu Hana mamlaka,
Haya Nimepata mtu anasafiri kesho niksema anipe ela @Tilishosafaris watampa ticket,natuma msg hazijibiwi tena,I had to find Bm ndo nimlipie apate gari ya kesho😩😩,ela za watanzania ni ngumu sana kupatikana,I wonder how many like me have suffered,
Nimejitahidi kubaki njia kuu ila hapana, @VodacomTanzania mmevunja uaminifu wakuu,Ata Nikiwa bar naogopa kuongeza biya mana saa yoyote mnanisaliti,nikichelewa home masai akafunga geti Ata simu haitoki uwiii😁😁