Wakati ww unafurahi weekend imeanza, Kuna mtu leo kapoteza watu waliokua nguzo kwenye maisha yake ...mama,mtoto ,baba,rafiki, mume,mke usilaumu wala kukufuru kwa hali uipitiayo.., MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU HATA KAMA HAKUJIBU SAWA SAWA NA MAPENZI YAKO (this is how life is)
Mimi I hold grudges! I WILL NEVER FORGET #MO29 pamoja na wote waliohusika, walio na wanaosupport, wanaojifanya wako neutral as if hakuna kilichotokea and i pity y'all kwa moyo wangu wote. But mostly SITOWASAHAU Mashujaa wetu na Haki yao hakika itapatikana. #JusticeForMO29Heroes
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
🚨 VIRAL ALERT 🚨 A grieving mother tried to warn people of an "accident" only to be told her SON WAS KILLED by @tanpol! She was BLOCKED from getting close, her life was at risk! 💔 This HEARTBREAKING video exposes the truth! @SuluhuSamia, we’re NOT muted, blind, or stupid! Your dictatorship WON’T silence us! Accountability NOW! @CNN@BBCWorld@AlJazeera@hrw@amnesty@UNHumanRights #JusticeForTanzania #StopTanPol
Mmeua ndugu zetu wengi sana afu mnasema ni AI.
Mlijua watu hawatatambua ndugu zao?
Tuliwaambia mnashindana na GEN Z sisi taarifa zetu zote zipo mtandaoni.
Haya semeni na hizi picha ni AI.
REPOST.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
TWAUZA MIWANI , KINDLY RT📣😎
Bei za miwani ni 35000-50000 TSHS
Screenshot uliyoipenda, send it to me on Watsapp uletewe Delivery, Karibu Sana
Whatsapp 📲 0676335537
📍Sinza Mori, Ahadi St
#glammedbyqueeenminah
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.