@MrDepalitto9 Hahahaha hujui kitu wewe duka kama hilo faida yake ndogo saan hakikisha unauza kuanzia laki kuendelea ambapo faida yake ni asilimia 10 mpaka 15 ya mauzo so kwenye laki faida inacheza elf kumi mpaka 15 hapo kuiona faida vizur ongeza nje genge pia vitu vya kupima
@DullahTheking2 wanapaswa kujua hizi ni Enzi nyingine social media zinaguvu ya kupush kazi ya msanii na msanii mwenyewe kuliko Enzi za nyuma za kutegemea radio station, ilifanya wasanii kuwanyenyekea watangazaji