@zittokabwe Kipindi kile cha uchaguzi wa Bunge la Africa Mashariki mulituambia hivi hivi kuwa speaker hana mamulaka ya kumufungia Mbunge mwaka mzima na Ndugai akasema nendeni popote munakokujua ila hao Wabunge hawatakanyaga Bungeni na kweli mwaka uliisha
@zittokabwe Hivi munafikiri kama Sheria haimuruhusu kumuita angemuita? Sisi tunapiga kelele tu hapa ila CAG anajua ukweli na speaker pia anajua ukweli kama ana Authority ya kumuita ama La!
@godbless_lema Ukerewe waliwapa heshima kubwa wakawachagua cdm but toka juzi hakuna kiongozi yeyote wa cdm kafika kuwafariji wana Ukerewe wako busy na ku tweet ,sasa kazungukwa na Wabunge na Mawaziri JE akatangaza kuhamia ccm mtalalama kanunuliwa? MANA RAFIKI WA KWELI YULE ANAEKUFAA WAKATIDHIKI
@godbless_lema Yaani hili jamaa hili dah hivi Arusha wana mbunge kweli? Mwenzenu huko kapata msiba kwakuondolewa na wapiga kura wake wengi tena waliokipa heshima kubwa cdm mpaka sasa hakuna hata mbunge wa cdm kaenda kumufariji mko busy na ku tweet tu
@godbless_lema Huna lolote hata kidogo kwani Voda si mulisema mtaacha kutumia huo mtandao vipi umekufa au ndio unazidi kwenda mbele? Hata Mwananchi tena ndio litasomwa sana kuzidi mwanzo
@godbless_lema Lazima utetee wenzio najua uliwakuta wengi huko gerezani wanachama wenzako wa zamani.Wewe unakula raha uraiani.Mbona hatujasikia kukiri au kukanusha kuwa weww ulikuwa Rasta?
@godbless_lema Vipi na wewe ulibambikiwa kesi? Wewe ulivyoenda gerezanj ulitegemea watu wakuambia mimi nina kesi kwakua kweli nilifanya? Wapo waliobambikuwa kesi hatukatai but sio wengi kama unavyopublish wewe.Wangapiwanakiri kufanya kosa moja kwa moja? Wengi mpaka wanahukumiwa hawakiri kosa
@godbless_lema Mbona sikusikii kama wamenunuliwa ? Mana akijiuzuru upande mwingine amenunuoiwa sijui anamukopo ameshindwa kuulipia na nk nk .Hapa umefurahi sana kuona wamjiuzuru kwa upande ule hatuoni hata mistari yako ya ngojera
@godbless_lema Magereza yatajaa labda wewe ndio utaenda gerezani watu washakushitukia.Hata kule Dar ulikuwa unachombeza ila siku ya siku ukalala mbele wenzio wanasota na kesi sasa hivi wewe ushabaki mzee wa ku tweet tu unatulia uwe unaingia na wewe kwenye maandamano na vurugu wakuonyeshe kazi
@MariaSTsehai Kwani alikuja Mwanza kwaajili ya Rais au alikuja Mwanza kwa ajili ya kutafuta kazi ,na alipoona Rais yupo ndio akapata bahati ya kuwepo kwenye mkutano wa Rais?
Hivi kila kitu ni kupinga tu na bado mpaka utawala huu uishe mshanyooka
@godbless_lema Hivi dirisha la kuchukua form na kuiludisha lilianza lini? Ilikuaje asubiri mpaka siku ya mwisho wakati unajua kuna figisu zaweza kufanywa? Hivi ccm ifanye figisu Korogwe ambako kila mwaka inashinda kwa kura nyingi isifanye figisu Monduli na Ukonga ipite bila kupingwa?
@godbless_lema Mtu kuchanganyikiwa sio mpaka aomote makopo wakati mwingine hata anachokiandika ki reflect hali yake so tusiendelee kucheka huyu mtu ipo siku atafanya kitu cha ajabu halafu tutabaki kusema ndio maana alikuwa haeleweki .Usipoziba ufa utajenga ukuta
@IbnuTanzania @godbless_lema Ahahahhaa nimecheka kwa sauti watu hawaelewi akisema hayuko salama ana maanisha mtu akitaka uenyekiti anakuwa hayupo salama na mtu akiuluzia ruzuku basi ajue mwisho wake ndio maana Lema anasema hawako salama