@salim_alkhasas Mwakinyo kambutua Mjomba wake Na mesi, Alafu Taifa star ishindwe kuwafunga wajukuu wa Id Amini, Huu mwezi wa Tatu ni mwezi wetu watanzania
@MsigwaGerson Fikisha ujumbe kwa wahusika hizi jezi zenye misalaba Zimetuvuruga waislamu, Hatutaweza kuvaa Jezi hizi kesho Tunapoenda kuishangilia Timu ya Taifa,
@shaffihdauda1 Hizi Jezi zenye alama ya msalaba zibadilisheni haraka sana, Mnatunyima haki yetu waislamu ya kuvaa jezi za timu ya Taifa na kwenda kuishangilia, pls badilisheni hizi jezi
Tanzania ni nchi yangu nami ni mzalendo wa Taifa langu, Ila kwa hiyi Jezi yenye Alama ya msalaba hamjatutendea haki waislamu Tuliotamani tuvae jezi ya Taifa,
Nitaishabikia Taifa star ila sitavaa jezi hii.
@OleMtetezi Ila mzee Tuache utani
Zitto kabwe ana Ndagu aisee
Chadema wamehangaika na maalim miaka yote hiyo leo kawatosa kaenda ACT??@zittokabwe kaokota Embe chini ya mti wa Mpapai,
@zittokabwe Ila Mzee mwenzangu sio bure una Ndagu
Yaani Chadema wamehangaika na Maalim miaka yote hiyo, Alafu wewe unakuja kumchukua kiulaaini tu bila jasho,
Even the nicest people have their limits! Don’t push them too far; don’t try to reach those limits. Once the boundary is crossed, they’ll never be the same person you used to know and you’ll only have yourself to blame! If you can’t be kind, remain quiet. Don’t hurt people!
@zittokabwe@ACTwazalendo Pale Jimboni kwako idadi ya vifo Imepungua au imeongezeka?? Na ukiwa mbunge umefanya nini kuhakikisha hali hii Inapungua
Jimboni kwako?? Tuanzie kwanza Jimboni kwako, na sio kila Jambo kukimbilia kuilaumu serikali, Wewe zitto kabwe umefanya Nn???
@ManenoIzaak Ni Kweli Mkuu, Lakini wanawake waache suala la kudai haki sawa na Wanaume 50-50, kama wanataka haki sawa na wanaume basi waachwe wajiwezeshe Wenyewe, Sio wanataka haki sawa alafu wanataka wawezeshwe na Wanaume hao hao,
Hii Haijakaa sawa
@salim_alkhasas Ukimuondoa Ruge Na Malinzi na Diva ambao umewaweka kukamilisha sentesi,
Ndiyo unagundua sasa kati yako na Polepole Mmoja wenu alitakiwa Kuwa Kaburini Au Jela,
Mimi Nimeshamfahamu ila Simtaji.
Asalaam Aleikum.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka yetu, Sheikh wetu, Imam wetu Sheikh Zuberi Yahya (Imam mkuu Masjid Mtoro)hatunaye tena duniani.
Innallilah… https://t.co/vatDVkBgsc
@fatma_karume Na Mpaka mda huu nimeshagundua Fatma karume anacheza Striker na Tundu lisu anacheza Defence, Hii Game ni kali sana
Ngoja Tuone mwisho wake
@ManenoIzaak Hata Isco mchezaji wa madrid alikataliwa na Fagasoni kuwa ana kichwa kikubwa hawezi kukimbia vizuri Uwanjani, Lakini Leo ni mchezaji Nyota duniani, Maisha hayako Fea tu ndugu yangu