@George_Ambangil@MiriamMkanaka Ambangile,naomba kukuliza swali hivi Ronaldo kafeli united au katimuliwa kwasababu ya kusema ukweli naomba kuwasilisha hojaπ±π±
Naomba kuchukua furaa hii kuomba wana Twitter kuretweet post hii hadi imfikie semaji letu @ahmed__ally hii ni appreciation kwa kazi kubwa anayoifanya pia zawadi kwa wana @SimbaSCTanzania na wapenda mpira wote Tz kwa kuingia hatua ya makundi. ππ@moodewji@bvrbvra@mpambazi.π¦βπΏ
Ngoja tuangalie jinsi wanavyozichapa watani zangu wa @yangasc1935 kati ya shabiki kindaki ndaki wa kufa na kupona wa Yanga kaka @IAMartin_ na bwana mdogo @privaldinho
Nataka tujuane,wewe upo upande gani?kam wewe ni
1. Team @IAMartin_ RETWEET
2. Team @privaldinho LIKE.!