Kwahiyo Klabu ngeni ina uwezo wa kuipangia klabu ya nyumbani uwanja wa kuchezea Mechi? π
Mpira wa Africa hasa kwa vilabu vya Africa safari ni ndefu sana kufika nchi ya ahadi π€
Al Ahly na Orando Pirates watapokea kila mmoja Dollar za kimarekani Milioni 1.2 kama wana Nusu Fainali wa Caf Champions League, Vivyo hivyo STELLENBOSCH na CS Constantine watapokea kila mmoja Dollar za kimarekani Laki 750000 kama wana Nusu Fainali ya Caf Confederation Cup.