Leo ni SABA SABA ya 50 (JUBILEE) ilitakiwa SAMIA atoke akahutubie wafanyabiashara ila nae TUMEMLAZA ndani.
Huu ni ushindi mkubwa sana WATANZANIA wapenda HAKI—hatujamaliza maandamano ni BACK-TO-BACK.
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
WATANZANIA TUHAKIKISHE UFUNGUZI WA AFCON NA SIKU ZINGINE MUHIMU ZINAZOKUJA, EITHER HALI IWE KAMA LEO AU TUTOKE KUANDAMANA KWA AMANI!!!!!
YANI MSHIKE MSHIKE MPAKA HAKI IPATIKANE!!!!!!!!!
Hakuna investor mwenye akili timamu atawekeza project kubwa hivi kwenye nchi ambayo ni lawless na Rais kaua watu ili awe ikulu……. Nchi ambayo mahakama zinaongozwa na Ikulu, polisi inaongozwa na Ikulu, bunge linaongozwa na Ikulu….. Nchi haingozwi kwa sheria ila inaongozwa kwa matakwa ya mtu mmoja na washirika wake. Hapo ni mwendo wa uwekezaji wa kuiba viwanja vya wazi na kufungua showroom za magari.
Tumeshashinda wanangu Asilimia 80 kila kona tumewashika.
tupo mburahati tunaelekea magomeni kwaajili ya kwenda kuungana na wenzetu wanaotoka ubungo na manzese Aluta continue 💪
#sirininumber7
Ukiambiwa tunza amani jua wanataka uwe kondoo utawaliwe vizuri. Kataeni upumbavu unaopewa jina la amani na utawala wa damu wa muuwaji Samia Suluhu! We must make these mofos uncomfortable. Hamuwezi kuuwa alafu mtuongoze. NEVER!! Tunataka UWAJIBIKAJI na HAKI.