Kijana jifunze kupiga kazi kwenye mazingira yoyote Yale bila kuhofia kwamba utachekwa na watu, kwenye utafutaji hakuna Aibu kama kazi unayofanya ni halali katika jamii yako piga kazi aiseee.๐ช๐ช๐ช