Hivi ndio uwa wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa Dini uwa wanauwawa
Samia anataka fyatua viongozi wa dini wasiomuabudu nchi nzima
Watanzania msipoona mna wajibu kutetea imani zenu na Mungu wenu kugeuka kuwa Samia mtakuwa mnafanya makosa makubwa sana
Kwa mara ya kwanza hata watu ambao wanasemaga siasa sio mambo yao wametoka hadharani kukemea Ukatili wa Polisi dhidi ya Wanachama wa Chadema.
Kikombe kinakaribia kufurika.
Hivi ni vitendo vya hovyo vinavyofanywa na vyombo vya dola visivyo na uadilifu.
Vyombo vinavyotumika kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya kikundi cha kifisadi.
Polisi wanapiga watu wetu na kuwazuia kuingia mahamani..
Polisi hao hao wanaingia mahakani wanajaza mabenchi, wanalala usingizi wakati kesi inaendelea kwasababu hawana shida ya kusikiliza kesi bali shida ha kuzia watu wa chadema kuingia kusikiliza kesi ya kiongozi wao.
Wanapiga na kutisha watu, ili chumba Kibaki bila watu, waseme Lissu haungwi mkono na wananchi ndio maana hata hawaji mahakani.
Hii ni Nchi inaendeshwa hovyo kuliko hata zama za wakoloni.
Habari za asubuhi Tanzania. Tumeamka tena mahakamani, lakini mpaka sasa mabenchi yako wazi kwa sababu polisi wanazuia wanachama kuingia ndani. Wanazuiwa nje, wanafukuzwa na kupigwa na kukatazwa kushuhudia kesi ya Mwenyekiti wao. Ni haki ya wananchi kushuhudia mwenendo wa kesi,ambayo ina public interest.
Hii sio sawa at all.
Ukumbi wa Mahakama bado haujajaa kuna watu 30 tu ndani lakin cha ajabu msaidizi wa Mafwele huyu George bado yupo getini kule anaendelea kuzuia watu wasiingie na sasa anawafukuza anawaambia waende nyumbani.
Kama unasoma ujumbe huu na upo hapo njee tafadhali usiondoke, Viongozi wetu wameenda kuzungumza na Msajili wa Mahakama ili watu waweze kuruhusiwa kuingia so msitawanyike.
Polisi wamewauwa Mzee Ali Kibao,
Alphonce Mawazo,
Ben Saanane;
Wamewateka Mdude Nyagali,
Azory Gwanda,
Kanguye,
Deo Soka,
Jacob Mlay,
Deo Kipanya,
Chaula,
Manengelo,
Kaswahili.. orodha ni ndefu!
Hawa wauwaji wanatuambia nini kuhusu sheria?
Muliro asubiri siku yake!
Huyu kibaka anaitwa Afande GEORGE BAGYEMU WILBAD Deputy ZCO, Kamishna msaidizi wa Police.
Huyu ni msaidizi wa Mafwele
Huyu ndo aliyeto amri kwa Polisi wapige na kuumiza watu leo pale Mahakamani.
Wapenda haki wote naomba mumsalimie kidogo namba zake 0755284244.
Retweet
Updates
Kesi imehairishwa mpaka saa 5:08 ili majaji wafanye maaumuzi juu ya hali ya kuzuia watu nje ya mahakama.
Lakini pia kumuuliza msaidizi wa Mafwele ZC0 George juu ya amri hii ya kuzuia waTanzania kuja kushudia kesi ya Mh @TunduALissu .
Nimetoka kumuona Mwenyekiti, yuko in a very high spirit.
Anawasalimia Watanzania wote.
Maneno yake tuendelee kupambana, hakuna kurudi nyuma kwasababu tuko sahihi.
Kesho tukutane mahakama kuu, kusikiliza uamuzi kuhusu mapingamizi yetu.
Kesho mahakama kuu tujitokeze kwa wingi.