Kwann Kenya na Wakenya wanatuzid?
kwenye takrban kila kitu!
1.Maanuzi
2.Ujengaji Hoja
3.Ujasiri na Mitizamo chanya
4.criticalthinking and brain storming.
5.Potentiality
6.Sisa, maana hata urais hutoka tawala na kwenda upizan
7.Uchumi, wanaviwanda Vingi tz kulko sisi.
@pharm_festo@HKigwangalla Vijana walio na Taaluma ya Chakula wapo Lakn Kama hawapo, hawatak kutoa elim kwa jamii au kupataza Sauti ili stk waweze ku ona hili Tatzo
@isackdel@HKigwangalla 2019 Sheria ya late president
Iltaka kuwa na viwaanda sindikaji small owned factory hvyo kufanya kila mtu kuweza kusndka chakula kwa seminar ya mwez moja
Then unapatiwa certificate na kuunganishwa na TBS hasaaa......hii Nchi bas Tuh
@HKigwangalla Shughuli ya Chakula
kwann wasipewe TFNC
By then wajumbe wa hizo Board n Senior Lectures wa Vyuo, Ki msingi wao kila kitu n fursa ya Research kwao..unahs nan afanye kipi na awajbke kwa nan?
@Kaka_Warren @HKigwangalla Kama
Nutritional Analysis Wanafanya
Kilichobakia hapo n Kuongeza
Safety,chemical, Toxicological and genetical analysis
Lab iwe Accreditation nothing more
Ili pia TBS i over sea TFNC
Hii Nchi bana na Govt Chemist Lab ina analyze nn?
What about NIMR ?
@HKigwangalla Pia kuna Sheria ilitungwa 2019 ya kuhamishia shughuli za udhibit ubora wa Chakula TBS, hii ina mapungufu mengi Maana haiku bainisha
"Food Quality and Safely "