Hii tabia unalala hotel wkt unatoka unaacha taa zikiwa zinawaka bila kujali ni ukosefu wa Spirit of Excellence. Wateja wanaweza sana kusaidia wamiliki wa Hotel kukata gharama za uendeshaji kama watajali kuwa na utu , jana nilikuwa mahali nakula nikamuona mtu anachukua toothpick kama nusu kopo anaweka kwenye mfuko wa shati na huku akitumia Tissue paper kufutia viatu vyake , hii imenifanya leo niandike haya maneno. Hata mimi nilishawahi kuwa na tabia kama hizi , lakini Neema alijitahidi sana kuninyoosha. Ni muhimu sana ku embrace the Spirit of Excellence kwani kuna mahausiano sana na ukuaji wa uchumi na biashara.