@mangekimambi Lisu anatufundisha kwamba shule muhimu Sana. Amewavua nguo police, magereza kwamba hawafuati pgo zao.
Ameivua nguo mahakama kwamba haipo huru.
Ameivua nguo serikali kwamba haisimamii katiba hata iliyopo
Ametoa darasa kwa watanganyika tuipiganie nchi yetu
@mangekimambi Huyu mtu anaisimamia nchi yetu wanaume tumejawa mavuzi tunashindwa kuipigania nchi yetu. Kuna thamani gani ya kuishi wanaume tumekalisha mapumbu tunashindwa kumuunga mkono kwa maneno, vitendo na kuchangia haiwezekani... Bora tuvae sketi hebu tuchangie jaman
@mwananchidr Tusiache kupiga kelele, uonevu huu haufurahishi, nawachukia Sana viongozi siwafurahii hata kidogo. Haki huinua taifa. Ipo siku waache wazanzibar wajenge nyumba Tanganyika zitageuka kuwa NHC. Tunawatambua kwa rafudhi na sura zao. Mmetengeneza chuki
@HildaNewton21 Mpaka wanabagua Albino kuingia kumwona mteja wake, ubaguzi mkubwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu yaani kesi hii inaibua madudu mengi kwamba tz si sehemu salama
@ben_jotham@Chahali Mfumo wa Roman ndio una inject watu wake mpaka msikitini, kila kanisa na madhehebu mengine, historically Roman imeanza mwaka 476 KK unadhani hawajui medali za ujasusi? Yaani hata mashekh wengi ni Roman