Kuna Mwanamke mmoja leo emekutana na mume wake wa zamani (Ex) hapa kijiweni kwetu akasalimiana nae fresh tu kisha akaanza kumtambia mwamba kwa sauti kuwa:
"Tumeachana hata mwaka haujaisha tayali NIMESHAJENGA, ningebaki na wewe ningefia upangajini..."
Jamaa kuondoa unyonge akamjibu hivi:
"Sasa pale UMEJENGA ama UMEPANGA TOFARI za kuchoma 🧱, ujenzi gani hamna hata mkandarasi"
Kila mtu hapa kijiweni akaanza kucheka, kuna muhuni mmoja amegalagala chini kwa kicheko 😅
Hivi navyoongea hapa Bimkubwa kapandisha kisukari ile mbaya 🙌🏾
Je, Mwamba amezingua kumpa jibu kama hili Ex wake ama yupo sahihi? 🤔
@Chahali Miaka yote toka yuko CDM huwa ni dalali wa kisiasa
Kabla ya uchaguzi aliongea maneno ya hovyo sana
Baada ya uchaguzi akawahadaa wananchi kwa maandamano kdg pale kigoma ya kudai kuibiwa kura
Hilo jengo linajulikana kama Vauxhall Cross lipo mjini London kandokando ya mto Thames.
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Shirika la ujasusi la Uingereza 'MI6'.
Ni shirika lililoasisiwa mnamo mwaka 1909, baada ya kutenganisha idara mbili za shirika..
Kwa sasa, majimbo makuu nchini 🇹🇿-TEC:
1. Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam
Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa’ichi, OFMCap
Askofu Henry Mchamungu
2. Jimbo Kuu Katoliki la Tabora
Askofu Mkuu,Mwadhama Protas Kadinali Rugambwa
Askofu Msaidizi Josephat Bududu