"Jeshi la Polisi limkamate Kenani Kihongosi aliyesema anajua kuna kikao cha Chadema kimekaa mahali fulani kupanga vurugu, ili akaeleze hicho kikao kilikaa wapi na kinawahusu kina nani." Mhe. @jjmnyika
…. A statesman is heading South.
Lindi, Mtwara na Ruvuma kaeni mkao wa kumpokea Makam Mwenyekiti.
Wimbo ni mmoja, Katiba Mpya na Kuachiliwa kwa Mwenyekiti wetu wa Chama Mh. Tundu Lissu.
Samia na wauaji wenzake lazima walipe gharama za kukatisha uhai na kutesa Raia wasio na hatia...
Let's keep the fire burning.
#FreeTanganyika#FreeLissu
#7/7...
Maandamano yanayoshika Kasi kwa sasa nchi nzima ni maandamano ya Tarehe 7.7.2026 ambapo hivi sasa vipeperushi vinasambazwa kwa kasi nchi nzima.
Ujumbe uliopo kwenye vipeperushi hivyo ni madai ya Katiba Mpya, Mateka wote waachiliwe, Kupinga kupanda kwa gharama za maisha.
Leo, 15/06/2026 Mhe. @HecheJohn, akiwa Mkoani Iringa, ametembelea familia za Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Iringa Ibrahimu Myovera, Antony Fyumagwa na Ally Kalolo katika Kata ya Ruaha, ambao kwa mujibu wa familia walipotea baada ya kufika Kituo cha Polisi Iringa kuripoti.
KWA WALE WOTE WASIOJUA:
Tume ya Jaji CHANDE, ILISHINDWA hata KUJUMLISHA TAKWIMU ili kupata IDADI SAHIHI ya WATU WALIOULIWA. Kwa hiyo, kuwa UPANDE wa Tume hiyo, ni KUTHIBITISHA UZEZETA usiokuwa na KIFANI 😂😂
Mtu mmoja mkazi wa Kiwila-Tukuyu-Mbeya ananiambia, anawafahamu UVCCM watatu waliovalishwa nguo za Polisi na kukabidhiwa Silaha October 29.
Yuko tayari kutoa Ushahidi endapo itapatikana Tume huru ya kuchunguza mauaji yale ya kinyama.
Sasa nikawaza, ni UVCCM na GREENGUARD wangapi walivalishwa nguo za Polisi nchi nzima siku zile za Giza nene katika nchi yetu?
Iko siku haya hayatakuwa siri tena.
"Tunapenda kuwataarifu wanachama, wafuasi wake na Watanzania wote kuwa Chama kitaendelea na Operesheni Katiba Mpya - Free Tundu Lissu katika Kanda ya Kusini, Nyasa na Magharibi." Mhe. @BrendaRupia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi