Human right activists ,Upcoming Daddy,Soldier.Cattonist,Comedian Fans,Love affair Friend|
I believe in socialism idea and The dictatorship of ploretariate
@ChiefLumanyika Pesa ipo since Roman Empire Karne ya 4 huko π Missionari walizunguka duniani kote Tangu lengo lilikuwa ni kuijenga Roman na miji yake kama Vatican ,inakadiriwa kuwa Vatican ni mji tajiri zaidi Duniani ,huwezi kukuta sahani za mabondo Wala percelain za udongo ni dhahabu tu
@YerickoNyerereT Nyie si mnacheza na serikali inabidi mjipange sana wao hawana huruma ,kama katikati ya Mob mlionayo na escort ya mgambo wenu bado Lissu anachukuliwa kwa mabomu ya machozi na bila kufanya lolote na polisi wameondoka nae bila hata polisi mmoja kudhurika ni wazi hiyo reform imefeli
@nyuki_malkia Apo yamekosekana matembele na ndizi za kukaanga weka na Pepsi ya baridi kati Ile Pepsi ambayo ukiitoa kwenye friji inavuja jasho weeee πππ Kuna utamu huwezi kuupata msikitini Wala kanisani ππ
@LuhagaMpina Hivi Luhaga Mpina yupo humu sikujua acha nimwambie ukweli Sasa π wewe Mpina kijana wa CCM unaejifanya una uchungu na Tanzania inawezekana huu mwaka ukaandika historia mpya juu ya hatima yako ndani ya CCM ,usianze kutafuta engagement ndani ya Chadema wewe shughulika na CCM πππ
@capitanpapilon Pesa na mifupa havikai pamoja π ukiona mtu ana pesa then mifupa inaonekana kama ya Prof Janabi elewa kabisa either mgonjwa au ana stress kama za Janabi mwenyewe,mtu unakuaje mshauri wa Raisi kwenye masuala ya menu afu wewe mwenyewe huli unashinda njaa πππ @ProfJanabi
@LuhagaMpina Nyani haoni kundule hivi huko CCM hakuna madudu si ni wewe uliesema Bashe siyo Mtanzania @HusseinBashe hayo mahaba na Catherine unayatoa wapi mbona ghafla sana π Kwa taarifa yako huko CCM inawezekana siku zako zikawa zinahesabika jina lako likirudi niite ashura mkata viuno π€£π
@YerickoNyerereT Bado hamjasema na Kwa taarifa yako bado wewe ,ngoja nimwambie heche unakuwaga na ka urongo ka kizanaki tukulambe kichwa π€£π€£ @HecheJohn
@Adventure_36 Waache kujipima nguo madukani ,Kuna magonjwa yanapandikizwa kwenye nguo hasa za mtumba. Kupona atapona kikubwa ahame sehemu zenye joto Kwa muda aende Arusha au njombe makete ndani ndani huko ni mwezi mmoja tu Sema kama ni mweupe lazima abaki na madoa doa kama Chui πππ