Kuna event kubwa inakwenda kufanyika mwezi ujao Dec, ambapo mashabiki wote wa Man City wanaoishi Dar es Salaam watakutana kiwanja kimoja kula, kunywa na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya mashabiki wa Man United.
Kama wewe ni Citizen Retweet hapa na tuma WhatsApp number yako DM