@fumbokhanJr Eeehh kmmmke mpira umeangalia wapi mzee😂😂 inter Miami wamepata 6 shots on target 90 mins na katika hayo 6 Messi kapata 2 shot on target ambazo zote ni woodwork kw maana zimegonga posi🥅 nenda katizame rating yake sofascore ndio utaona km hujaangalia mpira usilete hbr zko mbovu
@WideEdson Kumamamaeeeee uyo Vitinha jana kupiga pass ilkuw shida😂😂😂😂😁 ahhh huyu pedri atengwe kmmke hii ni ishara tosha kuw psg asingetoboa km Barca angefika fainal pedri & de Jong na hawa vimbilikimo wa psg😂
@goligani Na uyo alieshinda dhidi ya France,Croatia na Netherlands apewe nini km uyo apewe heshima isitoshe chile wameifunga Portugal 2017 kwenye international confederation ss unatak kusema nn mzee?
@WideEdson Swali pedri anatolewa kwa cbb kuna midfield nyingi sana Spain lkn akitolewa yy tu Spain na Barcelona wanazidiwa kati swali nauliza jana Vitinha sijamuona kafunikwa mwanzo mwisho na pedri na pedri katolew na kapata rating kubw kulko Vitinha na assist katoa😂
@vistovic17 Uzuri ni kwamba hujui kucheza mpira wala kuangalia Mimi naangalia mechi za River plate kila siku lakini mastantuono sio midfield ni RW kama vile Lamine wala hajawah kuchez mido na hata akicheza hawez kumfikia pedri kwa mpira kila position na role yake 🫰🏻
@sneakernyame Toni kroos said pedri is the best CM this season most man of the match than any other midfielder in the world and he’s in ballond’or top 4 than you want us to believe that guy who ghosted both matches against arsenal midfielder is better than pedri..helll no🙂↕️
@WideEdson Pedri yupo kweny ballond’or top 4 😂😂 lkn cha kushangaza vitinha yupo kweny top 10 ya ballond’or na sio 4 pedri ndo midfielder peke yake mwenye man of the match nyingi msimu huu kulko mildfielder yyte yule pedri amewin MOTM award 8 back to back kweny mechi 10
@gx_up23@Jeba_OG Mwamba huna cha kunambia hata messi alivokuw ana miaka 19 hana ballond’or hata moja lkn alikuw anapewa hype na tunamuona anachokifanya alikuw Jude alikuw anapew hype kw cbb alikuw anafunga sana saiv karudi kweny ile namba yke hasaa na hafany k2
@Cheche3200@Jeba_OG Just imagine Lamine na olise mtt w miaka 17 kachez na team yenye solid defense kawatia goli na kawatesa nusu fainal uefa imagine kocha wa inter anasema dogo atamuwekea mabeki watatu wamkabe tu na wameshindwa 😂
@gx_up23@Jeba_OG Mwamba Lamine anajuw mpira anapew hype na nan miaka 17 key player team kubw dunian are you serious?? Hlfu dogo talent uyo sio wakin Jude uyo uyo dogo kwa umri wke hkun mchezaj aliemfkia kw mafanikio tok mpira uanzishwe
@pat96090 @Mrssativa10 @SimwenguDreamer@nyuki_malkia Nikatafute dawa mm duuh pole sana mzee siwez kukutajia maumbile yngu coz siwez kujisifia ujinga ila pole sana mkuu km umeambiw mwanaume ili aweze kufany sex lzm awe na inchi 7