When I hadn't even reached 4 years old, I lost my mother. When I was 13, I lost my father, and when I was 17, we lost our house and business. When I was young, life taught me that at any moment you can lose anything, and life goes on, even though the pain never truly ends.
@bonifacejoseph_ Mimi ninaendesha Pikipiki kwangu mimi Usalama wa Pesa yangu ni kulipia bidhaa ikishafika mambo ya kupakia kwenye nini atajua Muuzaji...
@makonde0@gabyconscious Inaniumiza kwakua ninaweza kupiga mahesabu ya Pesa kwa Trip niliyopakia alafu unakuta mtu ana Offer 50% na pia inashusha thamani mtu siku akiona nauli haina Offer anafungua Acc nyingine...
Huyu boda namkutaga hapa kila siku saa 10 alfajiri, anasubiri abiria wataoshuka kituo hicho, hapo ana mke na mtoto labda, wako wamelala wanakoroma
Siku za mwanaume zimejaa taabu💯💯