Njo utambe now,ukideal na single sio siri utapotea
My darling niamini,wakikubeza beza sijali i don't care
Wabaya ndo wanaona donge,wacha wanga wanywe vidonge
Honey tulicheze lizombe,usizidishe kipimo cha pombe bembea pepea
bembea bendera pepea, ni raha zaidi
ukibembea bembea